Print
Mwenyekiti wa zamani wa tume ya Haki na Maridhiano Afrika Kusini Askofu Mkuu Desmond Tutu amemsihi Mwenyekiti wa Tume kama hiyo nchini Kenya Balozi Bethwell Kiplagat ajiuzulu.