Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Mei 28, 2023 Local time: 08:34

Guinea yateuwa kiongozi wa muda


Rais wa muda wa Guinea amemteuwa kiongozi wa chama cha wafanyakazi kuwa kiongozi wa baraza la mpito ambalo litasimamia hatua ya serikali kutoka utawala wa kijeshi kwenda wa kiraia.

Jenerali Sekouba Konate alitoa amri Jumatatu usiku akimtaja Rabiatou Serah Diallo kama rais wa baraza la la mpito Diallo ni kat ibu mkuu wa baraza la wafanyakazi wa Guinea.

Viongozi wawili wa kidini watafanya kazi kama makamu wa Rais Mosinyore Albert Gomez rais wa baraza la kikristo na El Hadj Mamadou Salou Silla, katibu wa zamani wa baraza la kiislam.

XS
SM
MD
LG