Print
Bunge la Nigeria lampa mamlaka makamu rais Goodluck Jonathan kushika uongozi wa nchi wakati Rais Umaru Yar’adua anaendelea kupata matibabu nchini Saudi Arabia.