Marais wa zamani Thabo Mbeki wa Afrika kusini na Pierr Buyoya wa Burundi wamewasili Nairobi kushauriana na serikali ya Kenya jinsi ya kusuluhisha mzozo katika jimbo la Darfur huko Sudan.