Print
Zaidi ya wageni 700 walioingia nchini Kenya kinyume cha sheria wamekamatwa na polisi kwenye msako unaoendelea katika sehemu mbali mbali mjini Nairobi.