Print
Kenya imemfukuza raia wa Jamaika mwenye msimamo mkali wa ki-Islam ambaye aliingia nchini humo akiwa kwenye orodha ya kimataifa ya watu wanaotafutwa.