Print
Mamia ya abiria wakabiliwa na matatizo ya usafiri kwenye viwanja vya ndege Nairobi na Mombasa kutokana na matatizo ya nguvu za umeme. UN itaiwekea Eritrea vikwazo kwa kuvuruga Somalia.