Print
Watu kadhaa wafa kufuatia ajali ya gari moshi la kubeba mizigo katika mtaa wa Kibera,Nairobi.Raia kadhaa wauawa katika shambulio la kombora lililolenga kituo cha Radio mjini Mogadishu.