Rais Mwai Kibaki wa Kenya atarajiwa kuongoza ujumbe mkubwa wa maafisa 63 wa serikali kwenye mkutano wa mabadiliko ya hali ya hewa mjini Copenhagen. Dunia leo yaadhimisha siku ya haki za binadamu. Tetemeko la ardhi latikisa mikoa ya Morogoro, Mbeya, na Dodoma nchini Tanzania.