Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Desemba 10, 2023 Local time: 17:12

Rais wa Nigeria aendelea na matibabu Saudia


Serikali ya Nigeria inasema Rais Umaru Yar’Adua bado yuko kwenye hospitali moja huko Saudi Arabia na madaktari wake pekee wanaweza kuamua lini atarudi nyumbani.

Waziri wa habari wa Nigeria, Dora Akunyili, alisema jana Jumatano kwamba Rais anaendelea vyema na matibabu ya moyo.

Rais Yar’Adua alisafirishwa kwenda hospitali moja huko Jeddah, Saudi Arabia zaidi ya wiki mbili zilizopita.

XS
SM
MD
LG