Maafisa wa Guinea wanasema Kapteni Moussa Dadis Camara amesafirishwa kwenda Morocco kwa matibabu baada ya kujeruhiwa katika jaribio la mauaji.