Upatikanaji viungo

Wafungwa 9 wa gereza la Kamiti wafariki


Wafungwa tisa kutoka gereza la Kamiti wafariki dunia na wengine 54 walazwa hospitali baada ya kuambukizwa ugonjwa wa kuhara damu.Mzozo wa msitu wa Mau waendelea kuleta mzozo wa kisiasa.

XS
SM
MD
LG