Print
Mkuu wa utumishi wa umma Kenya aagiza mawaziri wanyang'anywe magari makubwa papo, hapo wakipatikana nayo.Polisi wa Kenya wauwa wafuasi 9 wa kundi lililopigwa marufuku la Mungiki.