Shirikisha
Print
Ndege ndogo ya kibiashara yaanguka uwanja wa Wilson mjini Nairobi na kuuwa rubani na abiria wawili. Rais Abdoulaye Wade wa Senegal ashinikizwa kujiuzulu kufuatia madai ya ufisadi.