Print
Waathiriwa wa ghasia za uchaguzi mkuu uliopita Kenya wapanga kuandamana nje ya jumba la mkutano baina ya Ocampo,Kibaki na Raila. Sudan Kusini yatafakari juu ya kutangaza uhuru wake kamili