Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Juni 17, 2025 Local time: 04:44

Viongozi wa AU wakutana kujadili Darfur


Viongozi wa AU wakutana mjini Abuja Nigeria kujadili namna ya kutanzua mzozo wa Darfur. Mwendesha mashtaka wa ICC Ocampo atawasili Kenya tarehe 5 november. Maharamia Somalia watekanyara meli ya sita mwezi huu.

XS
SM
MD
LG