Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Novemba 09, 2024 Local time: 17:10

pakistan kushirikiana na Iran


Waziri wa mambo ya nje wa Pakistan amesema nchi yake itashirikiana na Iran kumtafuta kiongozi wa kundi la kisuni linalolaumiwa kwa bomu la jumapili huko Iran. Watu 57 waliuliwa katika shambulio hilo.

XS
SM
MD
LG