Shirikisha
Print
Baadhi ya wabunge Kenya wanadai Rais Kibaki na Waziri Mkuu Odinga ni pingamizi katika kuwashtaki watuhumiwa wa ghasia. Jeshi la DRC latuhumiwa kutowatendea haki raia mashariki mwa nchi.