Print
Kenya yaalika mahakama ya ICC kusikiliza kesi za watuhumiwa wa ghasia za uchaguzi uliopita. Ubalozi wa Marekani Afrika kusini wafunga ofisi zote za Marekani kufuatia vitisho vya kiulinzi.