Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Desemba 14, 2025 Local time: 08:29

Waziri Mkuu Odinga atakutana na Rais Obama


Waziri mkuu wa Kenya Raila Odinga atakutana na rais Barack Obama na rais wa zamani Bill Clinton New York. Watu 17 wauwa katika mapigano Somalia baina ya wanamgambo na majeshi ya serikali.

XS
SM
MD
LG