Shirikisha
Print
Watu 31 wameuwawa na majambazi katika kijiji cha Kanampio mkoani Rift Valley.Majeshi ya Marekani yalivamia kusini mwa Somalia jana na kumuua gaidi mtuhumiwa Saleh Nabhan mzaliwa wa Kenya.