Watu 16 wamekufa na wengine 28 kujeruhiwa katika ajali ya barabarani Rift Valley. Serikali leo imeanza zoezi la kuhesabu watu. Japan yaipa Kenya dola milioni 7.7za kununulia chakula.