Print
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani autaka uongozi wa Kenya kuonyesha uongozi bora katika karne ya 21. Wafanyakazi wawili misaada nchini Chad hawajulikani walipo.