Print
Baraza la mawaziri Kenya limeakhirisha mjadala wa kubuniwa jopo la kisheria kwa watuhumiwa wa ghasia baada ya uchaguzi. Maelfu ya wafanyakazi wa serikali afrika kusini wamegoma.