Print
Mapigano mapya mjini Mogadishu yameuwa watu 16 na kujeruhi wengine zaidi ya 50. Serikali ya muda ya Gabon imebadilisha baraza lake la mawaziri.