Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Septemba 21, 2021 Local time: 06:12

Zambia harvest


Lusaka - Zambia inaripoti rekodi ya ziada ya mahindi na inasema itauza nje tani laki moja za nafaka. Katika taarifa yao, Waziri wa Kilimo wa Zambia, Brian Chituwo anasema nchi imezalisha tani milioni moja nukta nane za mahindi katika mavuno ambayo wamekamilisha hivi karibuni. Chituwo anasema Zambia hivi sasa ina ziada ya tani laki mbili na elfu tatu, nusu ya hizo zitaruhusiwa kuuzwa nje,ingawaje kwa kiwango kidogo

XS
SM
MD
LG