Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Oktoba 29, 2020 Local time: 21:53

Zambia yapata mavuno ya ziada ya mahindi

Zambia inaripoti rekodi ya ziada ya mahindi na inasema itauza nje tani laki moja za nafaka. Katika taarifa aliyoitoa leo, Waziri wa Kilimo wa Zambia, Brian Chituwo anasema nchi imezalisha tani milioni moja nukta nane za mahindi katika mavuno ambayo wamekamilisha hivi karibuni. Chituwo anasema Zambia hivi sasa ina ziada ya tani laki mbili na elfu tatu, nusu ya hizo zitaruhusiwa kuuzwa nje, ingawaje kwa kiwango kidogo

Kura ya Maoni : Uchaguzi Tanzania

Kama unapiga kura leo utampigia nani kura yako ya urais?

Kura hii ya maoni si ya kisayansi na inaonyesha maoni ya waliojibu maswali tu.

Kama unapiga kura leo utampigia nani kura yako ya urais?

Kura hii ya maoni si ya kisayansi na inaonyesha maoni ya waliojibu maswali tu.

XS
SM
MD
LG