Print
wanamgambo Somalia wasema watafunga operesheni za mashirika matatu ya Umoja wa mataifa. Baraza la mawaziri Kenya lakutana kuamua hatma ya washukiwa wa ghasia baada ya uchaguzi.