Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Mei 28, 2023 Local time: 09:05

Kibaki kwenda Tanzania


Rais Mwai Kibaki kesho asubuhi atakwenda Tanzania kwa ziara ya siku mbili. Atakutana na Rais Kikwete na kushuhudia kutiwa saini mikataba ya kuimarisha uhusiano kati ya nchi hizi mbili, pia atazuru Zanzibar.

XS
SM
MD
LG