Print
Baraza la mawaziri likiongozwa na Rais Kibaki na Waziri Mkuu Odinga lashindwa kubuni mahakama maalumu ya watuhumiwa wa ghasia na mauaji ya uchaguzi mkuu uliopita.Litajaribu tena wiki ijayo.