Print
Mataifa 140 wanachama wa Umoja Mataifa wakutana New York kujadili hali ya mzozo wa fedha ulimwenguni. Wajumbe watajadili umuhimu wa kupunguza athari za mzozo huo.