Shirikisha
Print
Manchester United yakubali kumhamisha Cristiano Ronaldo hadi Real Madrid kwa thamani ya dolla millioni 130 - ni kiwango kikubwa kuliko vyote katika uhamishaji.