Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Aprili 13, 2024 Local time: 07:25

Waafrika Waadhimisha Siku ya Afrika


Taarifa kutoka makao makuu ya AU, Addis Ababa inaeleza kwamba mada ya mwaka huu ni kuelekea Afrika iliyoungana, yenye amani na ustawi.

Mkurugenzi wa mungano wa vyama vinavyounga mkono mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita, Brigitte Suhr anasema Afrika yenye amani na ustawi itafikiwa kama kutakuwa na mahakama inayofanya kazi kwa ufanisi.

Surh alisema kuwa lazima sheria ichukue mkondo wake dhidi ya wale wote wanaohusika na vitendo vya uhalifu wa kivita na kuvunja sheria zilizowekwa.

Zinazohusiana

XS
SM
MD
LG