Waziri wa Mambo ya nje wa Marekani, Hillary Clinton amesema ana amini kuwa kuondoka kwa Rais Mugabe madarakani kunaweza kuwa na manufaa makubwa kwa watu wote.