Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Machi 28, 2025 Local time: 15:07

Wakenya Watekwa Nyara Somalia


Raia hao watano wa Kenya wametekwa nyara katika mji mdogo wa Abulahao, umbali wa kilomita moja kutoka mpaka wa Kenya na Somalia, na wote watano ni maafisa wa serikali ya Kenya na wafanyakazi wa wizara ya elimu.

Maafisa wa eneo hilo la Somalia wanasema wakenya hao waliingia nchini humo bila kibali cha serikali ya Somalia, na kwamba ni lazima wachukuliwe hatua kali.

Kundi la al-Shabab linasema imekuwa ni kawaida kwa wananchi wa Kenya kuingia nchini Somalia bila idhini ya maafisa wa Somalia, na kwamba uchunguzi utafanyika kujua kama maafisa hao wa Kenya walikwenda nchini humo kwa shughuli za ujasusi.

Zinazohusiana

XS
SM
MD
LG