Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Oktoba 11, 2024 Local time: 00:06

Wazo la Umoja wa Mataifa ya Afrika  Lawekwa Kando


Viongozi wa Umoja wa Afrika wanaokutana katika mji mkuu wa Ethiopia, Addis Ababa wameweka kando mswada wa kuunda serikali ya umoja wa mataifa ya Afrika, huku baadhi yao wakiweka wazi kuwa hawako tayari kuachia utaifa wao.

Kiongozi wa Libya Moammar Gadhafi amekuwa akisukuma akisukuma mpango huo kwa miaka kadhaa, kwa maelezo kuwa hatua kama hiyo itasaidia Afrika kukabiliana vilivyo na changamoto za kiuchumi na kisiasa bila kuingiliwa na mataifa ya magharibi.



Zinazohusiana

XS
SM
MD
LG