Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Oktoba 06, 2022 Local time: 04:07

Dazeni Kadhaa Wauwawa kwa Moto Nairobi


Watu wasiopungua 34 wamekufa na wengine kadhaa kujeruhiwa kwa moto ambao umeteketeza duka maarufu jijini Nairobi, Nakumatt Downtown. Mali zenye thamani ya mamilioni ya shilingi pia zimeteketea kwa moto huo. Juhudi za vikosi vya kuzima moto kuokoma maisha ya watu hao na mali hazikuweza kuzaa matunda. Jeshi la polisi linasema uchunguzi unaendelea kujua chanzo cha moto huo.

XS
SM
MD
LG