Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Aprili 16, 2024 Local time: 09:48

Sikukuu ya Kutoa Shukurani Marekani


Leo Alhamis hapa Marekani ni siku kuu ya kutoa shukrani au Thanksgiving. Kwa wamarekani wengi hii ni siku ya mlo mkubwa, lakini wengine wanaipinga.

Mchambuzi wa maswala ya kisiasa Ladi Madosh Makene kutoka chuo kikuu cha Clark, Boston Marekani, anasema sikuu kuu ya mwaka huu haikuwa na shamlashamla nyingi kutokana na hali mbaya ya uchumi.

Watu wanaopinga siku kuu hii wanaihusisha na historia ya wahamiaji kutoka Ulaya na wamarekani asilia wa jamii ya kihindi. Wanasema wahamiaji kutoka Ulaya walipokelewa vizuri na wenyeji wao, lakini baadaye wakawatawala.

XS
SM
MD
LG