Dunia inaadhimisha siku ya vijana kwa kazi mbalimbali zinazowagusa vijana na malengo endelevu ikiwemo demokrasia, elimu na dijitali
VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.