Uamuzi wa ID Alhamisi ulikuja siku moja baada ya AfD kumpiga marufuku kiongozi wake, Maximilian Krah, kushiriki katika matukio ya kampeni.
Krah anachunguzwa kwa uhusiano wake na Russia na China baada ya mmoja wa wasaidizi wake kukamatwa kwa tuhuma za ujasusi kwa China.
Kauli ya Krah pamoja na tabia nyingine zilikuwa zimezidi mno kwa vikundi vingine vya mrengo wa kulia.
Forum