Siku ya kimataifa ya Kisukari yaadhimishwa Jumanne. Je vijana wamehamasishwa vilivyo?
VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake.