Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Oktoba 06, 2024 Local time: 14:26

Mgomo wa madereva wa malori ya kubeba madini kutoka kwenye migodi ya DRC waanza

Mgomo wa madereva wa malori ya kubeba madini kutoka kwenye migodi ya DRC waanza
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:59 0:00

Mgomo wa madereva wa malori ya kubeba madini kutoka kwenye migodi ya Kusini Mashariki mwa DRC kwenda nchi mbalimbaliu umeanza, wakilalamikia malipo duni.

XS
SM
MD
LG