Waalimu vijana wanaelezea changamoto na matatizo wanayokumbana nayo katika maadhimisho ya kimataifa ya Siku ya Waalimu Duniani
VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.