Waziri wa Ulinzi wa Marekani Loyd Austin alikuwa nchini Kenya Jumatatu na Jumanne, akiangazia uimarushwaji wa ushirikiano wa kiulinzi kabla ya kwelekea nchini Angola, kituo chake cha mwisho cha ziara ya nchi tatu barani Afrika, iliyoanzia nchini Djibouti.