Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.