Breaking News
Alhamisi, Novemba 26, 2026 Local time: 08:36

Nigeria imetolewa kwenye mzunguko wake wa 16 wa Kombe la Dunia la Wanawake. Timu inayotazamiwa na wengi kwa sasa kutoka Afrika ni Morocco.


VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

XS
SM
MD
LG