Wanajeshi waasi waliomuondoa madarakani rais wa Niger walimtangaza Jenerali Abdourahmane Tchiani, kiongozi wa mapinduzi Ijumaa, saa chache baada ya jenerali huyo kutetea unyakuzi huo wa mamlaka na kuomba kuungwa mkono na taifa na washirika wa kimataifa.