Katika ujumbe wake wa siku hii iliyobeba maudhui “kuibua uwezi wa Kiswahili katika zama za kidijitali” mkurugenzi mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la elimu sayansi na utamaduni UNESCO Audrey Azoulay amesema “Kiswahili ni lugha inayozungumza na watu wa zamani na wa sasa. Ikiwa na wazungumzaji zaidi ya milioni 200, ni mojawapo ya lugha za Kiafrika zinazotumiwa sana, ikijumuisha lahaja zaidi ya kumi na mbili kuu. Kwa karne nyingi, lugha hii ya Kibantu imeibuka kama njia ya kawaida ya mawasiliano katika maeneo mengi ya Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara, pamoja na Mashariki ya Kati.”
Matukio
-
Februari 19, 2025Kenya yalaumiwa kwa kuruhusu RSF kukutana Nairobi
-
Novemba 25, 2024REPORT SIKU 16 ZA KUZUIA UKATILI WA KIJINSIA.mp3
-
Mei 28, 2024Biden na Trump watafuta kura za wanawake
-
Mei 01, 2024Rwanda yaunda mkakati mpya wa ajira kwa vijana
-
Februari 05, 2024Ziara ya rais wa Poland nchini Kenya kuimarisha ushirikiano