Hali ya hatari na dharura imetangazwa katika wilaya ya Nova Kakhovka, kwa mujibu wa shirika la habari la Russia linalomilikiwa na serikali Tass kutokana na bwawa kubwa katika kituo cha kuzalisha umeme kwa njia ya maji kushambuliwa katika eneo hilo na kusababisha mafuriko makubwa.