Breaking News
Alhamisi, Novemba 26, 2026 Local time: 11:15

Umoja wa Afrika waadhimisha miaka 60 tangu kuanzishwa kwake


Umoja wa Afrika waadhimisha miaka 60 tangu kuanzishwa  kwake

No media source currently available

Umoja wa Afrika umeadhimisha miaka 60 tangu uundwe Mei 25 mwaka 1963, ukiadhimisha mafanikio yake katika miongo sita iliyopita ulipojulikana kama Umoja wa Nchi Huru za Afrika (OAU)

XS
SM
MD
LG